Leo tumewaletea video mpya ya Belle 9 aliyomshilikisha Joh Makin iitwayo 'Vitamin Music' iangalie sasa. Mastaa wengine walioonekana kwenye video hiyo ni JOTI wa Zecomed anaonekana akiudumia wagonjwa wenye ukosefu wa VITAMIN MUSIC Hospitali na kwa kunogesha pia anaonekana Rapa Young Dee.
“Belle 9 Featuring Joh Makini - Vitamin Music Official Video” — Produced by Mona Gangstar - Classic Sound Directed by Khalfan Bamushka.


Toa Maoni Yako:
0 comments: