Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (TBN), Joachim Mushi (kulia) akikabidhi ubani wa fedha shilingi 900,000 na kutoa pole kwa mwanamziki mkongwe, John Kitime (kushoto) ambaye amefiwa juzi na mkewe, tukio hilo lilifanyika jana Kimara eneo la Nguzo ya 800, jijini Dar es Salaam. Mzee Kitime ni mwanachama wa TBN. Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (TBN), Joachim Mushi (kulia) akikabidhi ubani wa fedha shilingi 900,000 na kutoa pole kwa mwanamziki mkongwe, John Kitime (kushoto) ambaye amefiwa juzi na mkewe, tukio hilo lilifanyika jana Kimara eneo la Nguzo ya 800, jijini Dar es Salaam. Mzee Kitime ni mwanachama wa TBN.Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (TBN), Joachim Mushi (kulia) akitoa ujumbe wa pole kwa John Kitime na waombelezaji mara baada ya kukabidhi ubani wa fedha zilizotolewa na wanachama wa TBN jana eneo la Kimara Nguzo ya 800 jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wajumbe wa TBN walifika kumfariji Kitime ambaye pia ni mwanachama wa TBN. Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (TBN), Joachim Mushi (kulia) akitoa ujumbe wa pole kwa John Kitime na waombelezaji mara baada ya kukabidhi ubani wa fedha zilizotolewa na wanachama wa TBN jana eneo la Kimara Nguzo ya 800 jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wajumbe wa TBN walifika kumfariji Kitime ambaye pia ni mwanachama wa TBN.Baadhi ya wajumbe wa TBN, wakiwa katika picha na mzee Kitime walipofika kumfariji na kutoa ubani wa TBN. Kutoka kushoto ni Sufian na Othman Michuzi pamoja na Mzee Kitime. Baadhi ya wajumbe wa TBN, wakiwa katika picha na mzee Kitime walipofika kumfariji na kutoa ubani wa TBN. Kutoka kushoto ni Sufian na Othman Michuzi pamoja na Mzee Kitime.Kutoka kushoto ni mjumbe mshauri na Kiongozi wa TBN, Issa Michuzi, baadhi ya wanamuziki wa bandi ya Njenje, Mwenyekiti wa TBN, Mzee Kitime na mwanae akipata picha na baadhi ya waombolezaji marafii waliofika kumfariji. Kutoka kushoto ni mjumbe mshauri na Kiongozi wa TBN, Issa Michuzi, baadhi ya wanamuziki wa bandi ya Njenje, Mwenyekiti wa TBN, Mzee Kitime na mwanae akipata picha na baadhi ya waombolezaji marafii waliofika kumfariji.Baadhi ya wanamuziki wa Njenje pamoja na wajumbe wa Chama cha Bloggers Tanzania (TBN) wakipata picha ya pamoja na mfiwa mwanamziki mkongwe, John Kitime walipofika msibani kumfariji jana Kimara eneo la Nguzo ya 800, jijini Dar es Salaam. Mzee Kitime ni mwanachama wa TBN. Baadhi ya wanamuziki wa Njenje pamoja na wajumbe wa Chama cha Bloggers Tanzania (TBN) wakipata picha ya pamoja na mfiwa mwanamziki mkongwe, John Kitime walipofika msibani kumfariji jana Kimara eneo la Nguzo ya 800, jijini Dar es Salaam. Mzee Kitime ni mwanachama wa TBN.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: