Baba mzazi wa mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Dully Sykes, Mzee Sykes aliyefariki dunia jana Februari 15, 2015 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, jijini Dar es Salaam anatarajia kuzikwa leo February 15, 2015 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog inatoa pole kwa Dully Sykes na familia nzima ya Mzee Sykes kwa msiba huu mzito. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe!
Toa Maoni Yako:
0 comments: