






Mstaafu Peter Daniel akitoa shukurani zake mara baada ya kukabidhiwa zawadi zake katika hafla hiyo ya kuwaaga wastaafu wa Mfuko wa Bima Afya ya Taifa, kutoka kushoto wanaofurahia ni Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF), Eugen Mikongoti na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Michael Mhando.
Wafanyakazi wakiwa na nyuso za furaha
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Michael Mhando akizunguma katika hafla hiyo.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Michael Mhando kushoto akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Balozi Ali Mchumo kulia na Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti
Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti, Othman Rehani Mkurugenzi wa Afya ya Jamii CHF na Mkurugenzi wa Tiba na Masuala ya Kiufundi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Dk.Frank Lekey wakipitia makabrasha wakati wa hafla hiyo.
Balozi Ali Mchumo Akisalimiana na Mkurugenzi Mstaafu wa NHIF Bw. Emannuel Humba.
Balozi Ali Mchumo Mwenyekiti wa Bodi Akiwasili ukumbini hapo huku akiwa ameongozana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bw. Michael Mhando.
Baadhi ya wafanyakazi wakimpokea mwenyekiti wa Bodi.
Hapa wakiserebuka kidogo
Wafanyakazi hao wakimpelekea keki Kaimu Mkurugenzi mkuu NHIF Bw. Michael Mhando.
Balozi Ali Mchumo Mwenyekiti wa Bodi akimpongeza Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bw. Michael Mhando pamoja na baadhi ya wafanyakazi.
Kutoka kushoto Maofisa wa NHIF Sabina Komba na Luhende Singu wakiwaongoza maofisa wenzao kufungua Shampeni wakati wa hafla hiyo.














Toa Maoni Yako:
0 comments: