| Mkurugenzi mtendaji wa shule ya Southern Highlands Mafinga Bi Mary Mungai kushoto akiwa na wageni mbalimbali |
| Wanafunzi wa shule ya Southern Highlands Mafinda wakipiga vyombo vya muziki walipokuwa wakiimba wimbo wa Taifa siku ya mahafali ya chekechea na siku ya wazazi shuleni hapo |
| Msimamizi mkuu wa Library katika shule ya Southern Highlands Mafinga Glory Mgullah Akijitambulisha |
| Mwalimu Bi Sarah akijitambulisha mbele ya wazazi |
| Wageni mbalimbali wakiwa katika hafla ya siku ya wazazi |
| Mkurugenzi wa shule ya Kimataifa ya Southern Highlands Bi Mary Mungai akieleza mipango mikakati ya shule hiyo pamoja na ujio wa shule mpya ya sekondari |
| Mmoja kati ya wanafunzi wahitimu wa chekechea shuleni hapo akipongezwa kwa kupewa keki anayemsaidia ni mama Mgaya ambae aliinunua keki hiyo |
| Wanafunzi wakiwa kando ya basi la shule |
| Baadhi ya majengo ya shule ya Southern Highalnds Mafinga yakionyesha kuvutia zaidi |
| Haya ndio majengo ya shule hiyo ya Southern Highlands Mafinga |
| Wanafunzi wakifurahi katika mazingira safi na salama kwa elimu shuleni hapo |
Na matukiodaimablog |


Toa Maoni Yako:
0 comments: