Msanii wa siku nyingi wa kundi la TMK UNIT Jebby anatatajia kuachia wimbo wake mpya kuanzia tarehe 25 mwenzi huu au tareha 5 mwezi wa kumi na mbili mwaka huu.

Akizungumza na jijini Dar es Salaam amesema kuwa alikuwa amekaa kimya mda mrefu bila kuaachia wimbo wowote kutokana na changomoto za kimziki na maisha nje muziki.

Hata hivyo Jebby aliongeza kuwa wimbo wake ameufanya katika studio mazuu record na producer wa wimbo huu ni mazuu na kuomba watanzania kumpokea tena kama ambayo walikuwa wakimpokea hapo awari.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: