Meneja uhusiano wa airtel Jackson Mmbando akizindua na kutangaza rasmi namba itakayowawezesha watanzania kushiriki mashindano ya kusaka vipaji ya muziki ya airtel trace music star kwa kukerekodi na kutuma nyimbo zao kwa kutumia simu zao za mkononi jana coco beach jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wasanii waliojitokeza wakijaribu kuimba na kurekodi kwenye namba maalum ya kushiriki mashindano ya airtel trace music stars katika viwanja vya Coco beach ambapo airtel ilimezindua rasmi namba ya kushirmaki shindano la Airtel Trace Music stars kwa lengo la kuwasaidia wasanii wanaochipukia nao kufikia malengo yao ya kuwa nyota wa muziki.
Wasanii wa kundi la yamoto band wakiwa na msanii maarufu nchini ambae pia ni balazo wa airtel trace music stars tanzania Ommy Dimpos wakionyesha namba maalum itakayotumika kupiga na kutuma nyimbo kwa wasanii chipukizi kwenye shindano la airtel trace music stars lililozinduliwa rasmi jana.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: