Maputo ni mji mkuu wa Msumbiji. Hadi 1976 ilijulikana kwa jina la Kireno la Lourenço-Marquès. Serikali mpya ya Msumbiji huru chini ya rais Samora Machel iliipa jina jipya la Maputo.

Mji una wakazi 1,200,000 (pamoja na mitaa ya nje: 1,800,000). Uchumi wake unategemea sana bandari yake kwenye hori ya Maputo ya Bahari Hindi.
Samaki wa kutosha.
Mitaa ya Maputo, Msumbuji.
Moja ya majengo yanayovutia.
Hata huku mama ntilie wapo.
Samaki wa kila aina wapo.
Machinga nao wapo katika mitaa ya Maputo, Msumbuji.
Uchaguzi utakuwa tarehe 15 October 2014, utulivu ni wa hali ya juu.
Makumbusho ya Ngome ya Vasco Da gama. Picha zote kwa hisani ya Mama Alvin 'The Don', Maputo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: