Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa zoezi la kuagwa mwili lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 12, 2014. Picha na OMR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akiwafariji wanafamilia wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa zoezi la kuagwa mwili lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 12, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa zoezi la kuagwa mwili lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 12, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akiwafariji wanafamilia wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa zoezi la kuagwa mwili lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 12, 2014. Picha na OMR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akisaini katika Kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa zoezi la kuagwa mwili lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 12, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohameed Gharib Bilal, akisaini katika Kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa zoezi la kuagwa mwili lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 12, 2014. Picha na OMR
Askari wa Bunge la Jamhuri, wakibeba Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wakiwasili kwenye viwanja vya Karimjee kwa ajili ya zoezi la kuagwa mwili, leo Oktoba 12, 2014. Picha na OMR
Rais Kikwete na Makamu wake, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakijumuika na waombolezaji wakati wa zoezi la kuagwa mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 12, 2014. Picha na OMR
Sehemu ya waombolezaji waliojitokeza kuaga mwili wa marehemu.
Toa Maoni Yako:
0 comments: