Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete katikati akiweka jiwe la msingi kuashiria ufunguzi rasmi wa Daraja la Maligisu lililopo katika Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza. Wengine katika picha ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli watatu kutoka kulia
 Taswira ya Daraja la Maligisu kama linavyoonekana kwa chini, Daraja la Maligisu kama linavyoonekana kwa juu mara baada ya kufunguliwa
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete 
watatu kutoka kulia akiwa amekata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Daraja la Maligisu. Wa kwanza kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo akifatiwa na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli. 
 Pilikapilika mara baada ya ufunguzi wa Daraja la Maligisu ambapo maelfu ya wakazi wa Kwimba na Magu walijitokeza katika sherehe hizo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete akiwa pamoja na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli wakipita juu ya daraja hilo la Maligisu mara baada ya ufunguzi
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Wenyeviti na Wakuu wa Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Ujenzi pamoja na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli. Picha zote kutoka Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: