Wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakutumbuiza katika uwanja wa sigara chan'gombe kutoka kushoto ni Said Mabela, Othumani Kambi na Mustafa Pishuu.
Wachalaza magita wa bendi ya msondo ngoma wakiwajibika wakati wa onesho lao kudhoto ni Said Mabela na Mustafa Pishuu.
Waimbaji wa bendi ya msondo wakitumbuiza wakati wa muendeleo wa wiki ya kutimiza miaka 50 ya bendi hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Sigara Chan'gombe Dar es salaam kutoka kushoto ni  Othumani Kambi, Shabani Dede na Juma Katundu Picha na www.burudan.blogspot.com
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: