Kampuni ya SimbaNET (T) Linited ya jijini Dar es Salaam Jumamosi hii iliandaa bonanza la michezo lililowakutanisha pamoja wafanyakazi wa kampuni hiyo na familia zao. Siku hiyo ilikuwa ni ya kula kunywa na kuchezo michezo ya aina mbalimbali ikiwepo soka, kuvutana kamba, kuogelea, muziki na michezo mbalimbali ya watoto. Kampuni ya Seree ndio walikuwa waandaaji 

wa tafrija hiyo iliyofanyika kwa mafanikio makubwa katika ufukwe wa 
Hoteli ya Bahai Beach.
 
 wafanyakazi na familia zao wakichukua kifuangua kinywa mara baada ya kuwasili bahari Beach Hotel.
Wafanyakazi wakipata kifungua kinywa.
 
 Watoto wakifurahia na kushiriki michezo mbalimbali ya kuogelea.
 
Mgeni rasmi katika siku hiyo ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa SimbaNET (T) Limited, Rakesh Kukreja akisalimia wachezaji wa timu zote akifuatana na kamisaa wa michezo hiyo Patrick Nyembela.
 
 
 Mchezo wa kuvuta kamba ulifanyika kwa makundi mbalimbali kutokana na fulana walizovaa. na Team ya weupe ndio waliibuka washindi. Picha zaidi Bofya FATHER KIDEVU BLOG
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: