Rais wa Brazil wa mrengo wa kushoto Dilma Rousseff ametoa wito wa kuimarisha umoja baada ya kupata ushindi mdogo hapo jana, unaompa ridhaa ya kuiongoza nchi hiyo kwa muhula wa pili.

Rousseff, mwanamke wa kwanza kuongoza taifa la saba kwa ukubwa kiuchumi, alipata kura asilimia 51.64, huku mpinzani wake Aecio Neves akiambulia asilimia 48.36 baada ya kuhesabiwa zaidi ya asilimia 99 za kura.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: