Mkurugenzi wa Kampuni ya HUAWEI Tanzania,Vicent Wen akitoa mada katika mkutano wa Kimataifa wa Teknolojia ya Mawasiliano kuhusiana na kampuni yake kwa kuleta maboresho ya mawasiliano ya simu hapa nchini ambapo wananchi wa vijijini na mjini wanaendelea kunufaika na huduma ya kampuni hiyo kwa bei nafuu za simu.Mkutano huo ulifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Mkurugenzi wa Kampuni ya HUAWEI Tanzania,Vicent Wen akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano wa Kimataifa wa Teknolojia ya Mawasiliano kuhusiana na kampuni hiyo kwa kuleta maboresho ya mawasiliano ya simu hapa nchini ambapo wananchi wa vijijini na mjini wanaendelea kunufaika na huduma za kampuni hiyo kwa bei nafuu.Mkutano huo ulifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Kimataifa wa Teknolojia ya Mawasiliano wakifatilia mada iliyokuwa ikitolewa na Mkurugenzi wa Kampuni ya HUAWEI Tanzania,Vicent Wen(hayupo pichani) Kampuni hiyo inashirikiana na serikali katika kuboresha huduma za mawasiliano kwa wananchi wa vijijini na mjini kwa bei nafuu zaidi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: