Mashabiki waliohudhuria katika show ya bendi ya YAMOTO waliofanya katika ukumbi wa New Maisha Club jana usiku.
 Mmiliki wa Bendi ya YAMOTO Said Fela akiongea machache.
 Waimbaji wanaounda kundi la “Yamoto Band”Aslay, Becka, Bella na Maromboso wakitoa burudani wakati wa uzinduzi wa video yao ya mkubwa na wanawe,uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa New Maisha Club jana usiku.
 Mwimbaji mahiri wa kundi la”Yamoto band” Aslay akikonga nyoyo za wapenzi wake waliofurika katika ukumbi wa New Maisha Club jijini Dar es Salaam.
 Burudani ya kufa mtu.
 Hisia toka moyoni.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: