Mkuu wa Wilaya ya Arusha mjini, John Mongela akisalimiana na Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014, walipomtembelea ofisini kwake jijini Arusha leo. Warembo hao Septemba 27 wanataraji kupandaa jukwaani kuwania taji la Miss Top Model litakalofanyika jijini Arusha.
 Warembo wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Mamlaka ya maji safi na maji taka Jijini Arusha (AUWSA) walipowatembelea leo
 Wakiwasili AICC.
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014, wakimsikiliza Ofisa Habari Mwandamizi na Itifaki wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), Catherine Kilinda aliyekuwa akiwapa maelezo mbalimbali kuhusina na kazi za kituo hicho walipokitembelea jijini Arusha leo. Aliyevalia suti ni Rodney Thadeus Ofisa Itifaki.
 Warembo wakiwa ndani ya Bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: