Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Magufuli akihutubia wataalamu mbalimbali wanaoshiriki katika mkutano wa 22 wa Elimu endelevu ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi jijini Dar e s salam.
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi akitoa hutuba yake katika mkutano huo jijini Dar es Salaam.
Picha namba 3. Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi wapili kutoka kushoto akimshukuru Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli mara baada ya kupokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa (AQRB) Dkt. Ambwene Mwakyusa.
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi akikabidhi cheti kwa mwanafunzi bora wa Insha kutoka Mkoa wa Dodoma Consolata Chidabile. Kulia ni Waziri wa Ujenzi akishuhudia tukio hilo.
Picha namba 6. Washiriki mbalimbali wa Mkutano wa 22 wa Elimu endelevu ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi jijini Dar e s salam wakisiliza kwa makini hotuba ya Mgeni rasmi katika mkutano huo.
Msajili wa bodi ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi(AQRB), Arch. Jehad A. Jehad akitoa hotuba yake.
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi akiwa na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi walioshinda katika shindano la Insha kutoka mikoa mbalimbali. Picha kutoka Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - Wizara ya Ujenzi
Toa Maoni Yako:
0 comments: