Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi leo kujiunga na viongozi wengine 

wanaounda Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika (AU) 
kwenye mkutano wa kuzungumzia masuala ya tioshio la ugaidi linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla.
Inspekta Jenerali wa Polisi Ernest Mangu na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis 

Mwamunyange wakielekea kwenye ukumbi wa mikutano katika ukumbi wa 
mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi katika mkutano wa 
Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika (AU) kuzungumzia 
masuala ya tioshio la ugaidi linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Yoweri Kaguta Museveni wakiteta jambo 

katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi 
katika mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika 
(AU) kwenye mkutano wa kuzungumzia masuala ya tishio la ugaidi linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla.

Nyimbo za AU na Kenya zikipigwa kabla ya mkutano wa kuzungumzia masuala ya tishio la ugaidi linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla katika 
ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: