Msanii mkubwa wa Africa Joseph Mayanja a.k.a Dr Jose Chameleone kutoka Uganda akizua akiwapagawisha mashabiki waliojitokeza ndani ya Kiota cha maraha Linas Night Club Bukoba.
Msanii Jose Chameleone akiwaimbisha mashabiki ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club
Msanii Jose Chameleone akiimba sambamba na Mashabiki wake.
Show ya Dakika 30 tu kutoka kwa Jose Chameleone  ikitosha  kuwapagawisha Mashabiki.
 Mahafudh Lushaka pichani Kushoto na Omg Mohamed Lushaka wakifuatilia show.
 Mr & Mrs Willy Kiroyera Rutta.
Maukodak  yakichukua kasi kwa Msanii Jose Chameleone ambaye anatumia mara nyingi lugha ya kiganda na kiswahili kwenye kuimba nyimbo zake.
 Mdau Kijigo na timu yake wakishow love mbele ya Camera yetu.
 Heka heka za hapa na pale na Shangwe za MsaniiJose Chameleone
 Pichani kushoto ni Mdau Gerald Ishebabi
Mwanadada Mayaulla kama kawaida jukwaani
 Hivi ndivyo Show ya msanii nguli wa muziki kutoka nchini Uganda, Dr.Jose Chameleone ilivyo acha  historia usiku wa kuamkia leo.
  KWA PICHA ZOTE NA Bukobawadau Blog.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: