Meya wa manispaa ya Ilala Jerry silaa akabidhi msaada wa madawati mia moja katika shule ya msingi kivule iliyopo jijini dar es salaam ikiwa ni mpango aliouanzisha na kuanza kuutekeleza kupitia (meya boll) katika mpango huo madawati hayo yamekabidhiwa kwa mwalimu mkuu wa shue hiyo pamoja na diwani wa kata ya kivule na afisa elimu wa manispaa ya ilala walikuwepo katika shuguli hiyo ya kupokea msaada huo Jana.
Mh.Akifurahi na wanafunzi wa shule hiyo ambapo walikuwa na furaha wa kupokea msaada huo
Mstahiki Jerry Silaa meya wa Ilala akimkabidhi msaada huo wa madawati mia moja (100) mwalimu mkuu wa shule ya msingi kivule
Waalimu wa shule ya kivule wa kiwa katika picha ya pamoja na Mh.Jerry Silaa mara baada ya kukabidhiwa madawati hayo
Wanafunzi wakishangilia kwa furaha na meya wakiwa wamekabidhiwa msaada huo wa dawati miamoja
picha Jerry Silaa meya wa Ilala akiwa na daadhi ya viongozi na wanafunzi.
Kwenye picha ni baadhi ya madawati yaliyotolewa na Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Silaa katika shule ya kivule iliyopo manispaa ya Ilaa jijini Dar es Salaam
baadhi ya wanafunzi wakiwa wanaendelea kusikiliza tukio liendavyo
Kikundi cha ngoma cha makirikiri kilichoundwa na wanafunzi kwaajiri ya kusherehesha katika sherehe hiyo ua kukabidhi madawati mkatika shule ya kivule
Burudani ikiwa imepamba moto kwa kusherehesha wahudhuriaji na kikundi hicho
kauli iliyopo katika madawati hayo
kundi la burudani ka kikulwa likiwa linatoa burudani wakati wa kukabidhi madawati hayo
Mh:Jerry Silaa akiwa ameongozana wa viongozi mbalimbali walio kuwepo katika shughuli hiyo kwenda kukagua madarasa mawili mapya yaliyo jengwa hivi karibuni
Akizungumza na viongozi hao mara baada ya kuangalia madarasa hayo ambayo nayo ameshirika katika kuchangia wakati wa ujenzi
haya ndiyo madarasa ya vyumba viwili mapya yaliyo jengwa hivi karibuni katika shule ya kivule.
Toa Maoni Yako:
0 comments: