Anza na "Just Got Paid" Azura tarehe 26 Septemba kuanzia saa 3 usiku mpaka kukuche ukijikita na midundo ya miziki ya ukweli pamoja na Castle LITE ya baridi!

Endeleza wikiendi yako Jumamosi 27 Septemba kuanzia saa 7 mchana mpaka 2 usiku, kwa kujiachia na miziki laini wakati jua likizama kwenye fukwe za Coral Beach katika “SETS FOR SUNSET” pamoja na Castle LITE. Usikose!

Tembelea tovuti yetu ya www.castlelite.co.tz kujua zaidi
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: