Katika kuonyesha Tanzania imejidhatiti katika ukusanyaji wa kodi (revenue collection) kwa njia ya Digitali kwa sasa wameamua kufunga mitambo kila vivuko. Mdau Safina Mtotela wa Kajunason Blog katuletea picha hizi alizozipiga katika kivuko cha Busisi na Kigongo Ferry jijini Mwanza kuonyesha jinsi mitambo ya digitali inavyofanya kazi. Hongera kwa Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA)
Wananchi wakipita katika geti lenye mfumo wa digitali.
Mashine yenyewe, unatichukua kadi na kubonyeza.
Mageti yenye mashine maalumu za digitali kwa ajili ya kupata tiketi.
Kivuko cha Busisi/Kigongo.

Mdau Safina Mtotela wa Kajunason Blog akionyesha tiketi yake ya digitali inayomuwezesha kuendelea na safari yake.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: