Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana umwamba na Yusuph Mnyeto wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kambi ya Ilala Amana CCM Dar es salaam jana, Picha na SUPER D BLOG.
 Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana umwamba na Yusuph Mnyeto wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kambi ya Ilala Amana CCM Dar es salaam jana.
 Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana umwamba na Yusuph Mnyeto wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kambi ya Ilala Amana CCM Dar es salaam jana.
Bondia Yusuph Mnyeto kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class ' King Class Mawe' baada ya kumaliza kupigana katika mazoezi yanayoendelea kwenye kambi ya Ilala Dar es salaam jana
picha picha na SUPER D BLOG
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' katikati akijazwa katika fomu uku akiulizwa maswali mbalimbali kuhusu upimaji VVU UKIMWI wakati wa kuamasisha wakazi wa magomeni kagera kupima kwa hiali jana
Bondia Ibrahimu Class' King Class Mawe' baada ya kupima vvu ukimwi wakati wa kuamasisha wakazi wa magomeni kagera kupima afya zao jana
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kulia na Mikidadi Boika  wakati wa kampeni ya kupima vvu ukimwi iliyokuwa ikifanyika magomeni kagera Dar es salaam jana Super D na king class walipima kwa ajili ya kuamasisha wakazi wa kagera kutambua afya zao.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: