IMG_0082

Mkurugenzi wa Tan Communication Media  inayo miliki kituo cha  Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha  Bw Robert Francis  akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo baada ya kufanya halfa fupi 
iliyofanyika katika ofisi yao jijini Arusha kuwapongeza kwa kushika nafasi ya kwanza katika sekta ya mawasiliano na habari kwa ukanda wa kaskazini maonyesho ya nane nane, Pamoja na  David Rwenyagira aliyepata Tuzo za Tanapa hivi karibuni.
IMG_0073
Mkurugenzi wa Tan Communication Media  inayo miliki kituo cha  Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha  Bw Robert Francis  akiwa anampongeza Mfanyakazi wa kituo hicho David Rwenyagira kwa kupata Tuzo na kushika nafasi ya kwanza upande wa Redio katika eneo la kutangaza utalii wa ndani na mshindi wa pili pekee kundi la kutangaza masuala ya Uhifadhi upande wa Redio zilizotolewa na   Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) hivi karibuni
???????????????????????????????
David Rwenyagira akiwa anatoa pongezi kwa Mkurugenzi wao kwa kuweza kuona mchango wao  katika kampuni hiyo ambapo pia aliwataka wamiliki wa vyombo vya habari hapa Nchini  kutoa ushirikiano kwa wanahabari wao katika kuibua habari za kijamii ikiwa nipamoja na kuwaezesha kufika vijijini
IMG_0028

Bw Robert Francis akiongea na wafanyakazi wa kampuni hiyo, ambapo pia 
alitumia fursa hiyo kuvitaka vyombo vya habari kuandika na kutangaza 
habari zinazohusu wakulima vijijini hali itakayosaidia kupatikana kwa  
wataalam wa kuwasaidia katika kilimo ikiwa nikukuza ajira katika upande 
wa kilimo

Pia amewaomba  waandishi wa habari Tanzania kupeleka kazi zao katika mashindano mbalimbali hali itakayosaidia kujipima na kuongeza ujuzi zaidia huku akimtolea mfano mtangazaji wa kituo hicho David Rwenyagira aliyepata TUZO na kushika nafasi ya kwanza upande wa Redio katika eneo  la kutangaza utalii wa ndani na mshindi wa pili pekee kundi la kutangaza masuala ya Uhifadhi upande wa Redio zilizotolewa na   Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) hivi karibuni

IMG_0017
Watangazaji wa kituo hicho wakiwa katika halfa hiyo.
IMG_0014 
Wafanyakazi wakifuatilia kwa makini.
IMG_0011 
IMG_0003 
IMG_0030
Ulaji ulikuwa hivi...
IMG_0034 
IMG_0038 
IMG_0042
Mtangazaji Clara Moita akiwa anajipakulia katika halfa.
IMG_0048 
Wafanyakazi wakijichana.
IMG_0049
Semio Sonyo wa kipindi cha Love cuts akiwa anafanya yake
IMG_0055
IMG_0076
Wafanyakazi wakiwa katika nyuso za furaha baada ya halfa
IMG_0060  
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: