Na Mwandishi Wetu.

CEO wa kampuni ya 5 Effect inayohusika na kutengeneza muvi za hapa Tzee, Wiliam J. Mtitu pia alikuwa katibu mkuu wa Bongo muvi Unit, ametangaza kujivua gamba la uongozi kutokana na madai ya mwenyekiti wao Bw. Steve Nyerere kutafuna hela.

Ingawa kipindi cha uchaguzi Mtitu alitamka kuwa atawapeleka polisi Bongo muvi watakaoiba pesa sasa leo hii imekuaje?

"Nimejivua na sasa mimi si kiongozi tena, hata instagram nimepost. Pamoja na kwamba niliahidi kuwapeleka polisi wezi wa mali za Bongo Muvi Unit, lakini nimeshindwa kwasababu kwanza Bongo muvi haina katiba nitampelekaje mtu polisi? sibola tu nifanye mambo yangu kuliko kuendelea kuibiana." Alisema Wiliam Mtitu
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: