Mkurugenzi Mtendaji wa Benki Mkombozi Commercial, Edwina Lupembe akiongea na waandishi wa habari waliofika katika hafla ya benki hiyo kufikisha miaka mitano tokea imeanzishwa. Aliongeza kuwa benki hiyo ilianzishwa kwa lengo la kutoa huduma za kibenki sanjari na kushughulika na matatizo ya kiuchumi kwa jamii katika nyanja mbalimbali.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Edwina Lupembe akikazi msisitizo mbaye ya waandishi wa habari.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki Mkombozi Commercial, Edwina Lupembe akiwatambulisha mbele ya wageni waalikwa na wafanyakazi, watoto wanaosomeshwa na benki hiyo.
Mazungumzo ya hapa na pale yakiendelea.
Wafanyakazi wa benki hiyo wakifuatilia kwa makini. 
Hii ilikuwa ndiyo njia sahihi ya kutambuana.
Muda wa chakula.
Bendi iikiendele kutoa burudani.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: