Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipatiwa maelezo na Imam wa Msikiti wa Mtambani,Sheikh Suleiman (mwenye kanzu nyeupe) ya namna moto ulivyoteketeza sehemu ya jengo la shule ya Seminari ya Kiislam ya Mivumoni katika Msikiti wa Mtambani Kinondoni jijini Dar es salaam,wakati alipotembelea kuijionea hali hiyo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoka kuangalia uharibifu uliotokea kwa kusababishwa na moto uliotokea hivi katibuni na kuteketeza sehemu ya majengo ya shule ya Seminari ya Kiislam ya Mivumoni katika Msikiti wa Mtambani Kinondoni jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiangalia uharibifu uliotokea kwa kusababishwa na moto na kuteketeza sehemu ya majengo ya shule ya Seminari ya Kiislam ya Mivumoni katika Msikiti wa Mtambani Kinondoni jijini Dar es salaam.Kulia ni Imam wa Msikiti huo Sheikh Suleiman akimuongoza Mh. Lowassa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: