Mwishoni mwa wiki ilikuwa zamu ya wakazi wa makao makuu ya nchi kuishuhudia ziara ya wasanii waliofanya vizuri nchini kwa kipindi cha mwaka 2013/2014 maarufu kama Kilimanjaro Music Tour. Ziara hiyo iliwakutanisha wasanii takribani 10 ambao walitoa burudani kwa maelfu ya wakazi wa Dodoma waliofurika katika uwanja wa Jamhuri kushuhudia tamasha hilo ambalo lilikuwa likisubiriwa kwa hamu.
Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki na Afrika kwa Ujumla, Bi. Khadija Omary Kopa akitoa burudani ya Kikwetu Kwetu sambamba na wacheza shoo wake katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Jumamosi Agosti 16, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Mwasiti akiimba sambamba na
shabiki wake katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja
wa Jamhuri mjini Dodoma Jumamosi Agosti 16, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na
Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Rich Mavoko akiwapagawisha
mashabiki wa mji wa Dodoma waliohudhuria katika Tamasha la Kilimanjaro Music
Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Jamhuri mjini Jumamosi Agosti 16, 2014.
Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Mwanamuziki Christian Bella akiwapagawisha mashabiki wa mji wa
Dodoma waliohudhuria katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014
lililofanyika Uwanja wa Jamhuri mjini Jumamosi Agosti 16, 2014. Tamasha hili
limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Shilole a.k.a Shishi Baby
akiwapagawisha wakazi wa Mji wa Dodoma
katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Jamhuri
mjini Jumamosi Agosti 16, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya
Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Shilole a.k.a Shishi Baby akiwa amebebwa na shabiki wake ambaye alienda kucheza nae.
Msanii Machachali wa muziki wa kizazi kipya toka mkoani Mbeya,
Izzo B akikata kitu ya burudani kwa wakazi wa mji wa Dodoma katika Tamasha la
Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Jamhuri mjini Jumamosi
Agosti 16, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium
Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, MwanaFA akiwapa burudani
wakazi wa jiji la Dodoma katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014
lililofanyika Uwanja wa Jamhuri mjini Jumamosi Agosti 16, 2014. Tamasha hili
limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ben Pol akitoa burudani katika
Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma
mjini Jumamosi Agosti 16, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya
Kilimanjaro Premium Lager.
Wasanii wa Kundi la Weusi linaloundwa na Joh Makini, Nikki 2,
G-Nako toka Kaskazini mwa Tanzania, Jijini Arusha wakitoa burudani katika
Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma
mjini Jumamosi Agosti 16, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya
Kilimanjaro Premium Lager.
Wakazi wa mji wa Dodoma na vitongoji vyake wakiwa katika
Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma
mjini Jumamosi Agosti 16, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya
Kilimanjaro Premium Lager.
Wadau wakipata ukodak.
Mpiga picha mkuu wa Kilimanjaro Music Tour 2014, Cathbert Angelo Kajuna wa Kajunason Blog akipata ukodak wakati wa kazi.


.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)

Toa Maoni Yako:
0 comments: