Mkurugenzi mtendaji wa TDL David Mgwasa akielezea na kutoa ufafanuzi wa Kinywaji kipya aina ya Fyfe's.Kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd (TDL) Juzi Agosti 20, 2014 imefanya uzinduzi wa kinywaji chake kipaya aina ya  Fyfe's katika hoteli ya Serena, Kinywaji hicho ambacho uhalisia wake na uzindikaji ni wa nchini scotland. Mkurugenzi wa TDL David Mgwasa amewaomba wa Tanzania kukipokea kinywaji hicho kwenye soko la vimiminika kwani kina ubora wa hali ya juu na kimetengenezwa kwa asilimia kubwa kwa kutumia vitu asilia.
 Langa Khanyile mtaalamu wa upikaji na uchanganyaji wa kinywaji cha Fyfe’s akitoa maelezo ya kina ni kwa namna gani kinywaji hicho kinaandaliwa kutoka hatua ya kwanza mpka Mwisho.
Moshi mkubwa ukitoka ndani ya kifaa cha mfano wa glass ya asili kuashiria uzinduzi rasmi wa kinywaji cha Fyfe’s ndani ya Serena hotel, Dar.
 Wageni waalikwa na wadau mbalimbali wakiangalia namna pekee ya uzinduzi wa kinywaji cha Fyfe’s.
   Na Hatimaye Kinywaji kikawa tayari kimezinduliwa Rasmi.
 Wahudumu wa Serena Hotel wakigawa glass zenye kinywaji cha Fyfe’s ili kuweza kujionjea Ladha yake.
Cheeers hapo ni wageni waalikwa na wadau mbali mbali wakifurahia ladha ya kinywaji cha Fyfe’s mara tu baada ya kuonja.
 Langa Khanyile mtaalamu wa upikaji na uchanganyaji wa kinywaji cha Fyfe’s akifurahi pamoja na wadau na wageni waalikwa.
 Uonjaji na unywaji wa kinywaji cha Fyfe’s   kwa wadau na wageni mbalimbali.
 Meneja Masoko wa TDL akitoa ufafanuzi wa bei za kinywaji aina ya Fyfe’s  pamoja na kuchezesha draw ya bahati na sibu kwa wageni na  wadau waliofika kwenye uzinduzi huo.
 Langas Group wakitooa burudani ya asili kutoka nchini scotland kwa wageni na wadau mbalimbali.
Wageni wakiendelea kubadilishana mawazo pamoja na kunywa kinywaji cha Fyfe’s.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: