Mkurugenzi wa Kampuni ya Garnet Star ambao ni wasambazaji wa bidhaa za LG, Tanzania, Rajesh Kumar (kulia) akimkabidhi Bw.  DANIEL CHUWA zawadi ya TV INCH 55,ULTRA HD aliyojishindia katika promosheni iliyoendeshwa na kampuni ya Garnet Star Limited, kwa kutambua umuhimu wa wateja kwa kila mteja anayenunua kifaa cha picha na sauti kama vile TV Flat Screen, set ya muziki, Hi-Fi na DVD ZA LG, chenye thamani ya kuanzia shillingi laki mbili na sabini na tano (275,000/=) anapata nafasi ya kujishindia zawadi mbalimbali kama vile luninga ya inch 55 yenye uwezo wa picha ya HD, runinga ya inch 32, set ya muziki, na kichapisha picha ya mkono zote kutoka LG. Mwisho wa promosheni ilikuwa tarehe 31/July/2014 na Draw ilifanyika tarehe 4/8/2014
Mkurugenzi wa Kampuni ya Garnet Star ambao ni wasambazaji wa bidhaa za LG, Tanzania, Rajesh Kumar (kulia) akimkabidhi Bw. SAMWEL TUNGARAZA ameshinda TV INCH 32. 
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Garnet Star ambao ni wasambazaji wa bidhaa za LG, Tanzania, Rajesh Kumar (kulia) akimkabidhi Bw. JOSEPH MUHOZI ameshinda Music System ya model CM9730.
  Mkurugenzi wa Kampuni ya Garnet Star ambao ni wasambazaji wa bidhaa za LG, Tanzania, Rajesh Kumar (kulia) akimkabidhi DR. ELIAUSOWY MEENA ameshinda Mobile Photo Printer
  Mkurugenzi wa Kampuni ya Garnet Star ambao ni wasambazaji wa bidhaa za LG, Tanzania, Rajesh Kumar (kulia) akimkabidhi Bw. LUGANO JEGELA ameshinda Mobile Photo Printer.
  Mkurugenzi wa Kampuni ya Garnet Star ambao ni wasambazaji wa bidhaa za LG, Tanzania, Rajesh Kumar (kulia) akimkabidhi Bw. ABDULIKADRI YUSUPH ameshinda Mobile Photo Printer.
  Mkurugenzi wa Kampuni ya Garnet Star ambao ni wasambazaji wa bidhaa za LG, Tanzania, Rajesh akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi zawadi.
Washindi wakiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Garnet Star ambao ni wasambazaji wa bidhaa za LG, Tanzania, Rajesh Kumar (katikati).

Na Mwandishi Wetu.

Garnet Star Limited, kwa kutambua umuhimu wa wateja wao inaendesha promosheni ambapo kwa kila mteja anayenunua kifaa cha picha na sauti kama vile TV Flat Screen, set ya muziki, Hi-Fi na DVD ZA LG, chenye thamani ya kuanzia shillingi laki mbili na sabini na tano (275,000/=) anapata nafasi ya kujishindia zawadi mbalimbali kama vile luninga ya inch 55 yenye uwezo wa picha ya HD, runinga ya inch 32, set ya muziki, na kichapisha picha ya mkono zote kutoka LG. Mwisho wa promosheni ilikuwa tarehe 31/July/2014 na Draw ilifanyika tarehe 4/8/2014. Na itatangazwa katika vyombo vya habari mbalimbali, ambapo mshindi ataondoka na runinga ya LG yenye uwezo ya picha Ultra HD.

Promosheni hii ilifanyika katika maduka na supermarket mbalimbali yaliyothibitishwa na yanayouza bidhaa za LG Tanzania nzima.

Mteja aliponunua kifaa chochote cha picha na sauti kutoka LG alitakiwa kupewa dhamana (warrant) ya miaka miwili na kupewa ticketi ya kujiunga na promosheni hii.
Garnet Star Limited, Wakala mkuu aliyedhibitishwa chini Tanzania.

Kampuni ya Garnet Star limited inatoa pongezi za dhati kwa wateja wao waliofanya manunuzi katika vituo vyao mbalimbali na kupata nafasi ya kujaza kupon za bahati nasibu.

Tunatoa pongezi kwa wateja wafuatao ambao wamejishindia zawadi mbalimbali kama ilivyoorodheshwa:

1. DANIEL V.CHUWA ameshinda TV INCH 55,ULTRA HD
2. SAMWEL TUNGARAZA ameshinda TV INCH 32
3. JOSEPH MUHOZI ameshinda Music System ya model CM9730
4. ABDULIKADRI YUSUPH ameshinda Mobile Photo Printer
5. DR. ELIAUSOWY MEENA ameshinda Mobile Photo Printer
6. LUGANO JEGELA ameshinda Mobile Photo Printer
7. SAMWEL ameshinda Mobile Photo Printer
8. HAJI MLENDELA ameshinda Mobile Photo Printer

Vyote hivi ni kutoka LG - Garnet Star na vina dhamana (warrant) ya miaka miwili.Tunawakaribisha wateja wote na Watanzania wote kutembelea mawakala wetu mbalimbali waliopo kote nchini na kutembelea ofisi zetu zilizopo jengo la red cross makutano ya Bibi Titi na Morogoro Road ghorofa la tano kwa mahitaji yao yoyote.Nunua bidhaa za LG nawe ufaidike.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: