Maiti zikiwa zimefunikwa mara baada ya Basi la Moro Best kupata ajali mbaya.
Majeruhi wakiwa wamelala na kukaa baada ya basi la Moro Best lililokuwa linatoka Mpwapwa kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori eneo la Pandambili. Baadhi ya majeruhi wa ajali wakipelekwa Hospitali ya Mkoa Dodoma huku wengine wakipelekwa Hospitali ya Mpwapwa.

Na Mwandishi Wetu.

TAKRIBANI watu 20 wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya basi la Moro Best lililokuwa linatoka Mpwapwa kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori eneo la Pandambili, Kongwa mkoani Dodoma leo. Baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika Hospitali ya Mkoa Dodoma huku wengine wakipelekwa Hospitali ya Mpwapwa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: