Pichani ni aliewahi kuwa msanii wa bongo fleva kwa jina anaitwa "winnie mandela" yasadikika amekamatwa huko nchini China kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya tumboni mwake.

Tatizo ni nini nyie madada zangu?? Unadhani unaweza kuwa tajiri kwa njia ya mkato ama??

Mnajua kabisa nchini China ukikamatwa na madawa ya kulevya ni kunyongwa tu lakini mnajifanya kama hamjui, haya sasa hasara kwa ndugu na wazazi wako kwasababu utapotea bure na bila faida zaidi ya hasara tu, yaani ni bora usingezaliwa kama wangejua yatakuja kutokea haya.

Ni kweli na wala sio movie hiyo, dadangu huyu kifo kinamhusu dah!! R.I.P ukitoka ukatambike kwenu.

Mdau Johnson Matembo Mtanzania Mzalendo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: