Mfungaji bao la Ujerumani 45'' Kipindi cha kwanza kimekamilika 44 Ujerumani 1-0 Ufaransa 41 Benzema anakosa fursa nyengine ya kuisawazishia Ufaransa.

40'' Mechi hii inaendelea katika uwanja wa kihistoria wa Maracana.
Bao la Mat Hummels Kufikia sasa Bao la dakika ya 12 la Mats Hummels ndilo linaipatia ujermani kipaumbele. Mshindi wa mechi hii atakutana na mshindi kati ya Brazil na Colombia katika nusu fainali. Ujerumani inakabiliana na Ufaransa kutafuta tikiti ya nusu fainali ya kombe la dunia.
Mashabiki wa Ufaransa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: