Katika hali ya kusangaza wakazi wa jiji la Dar leo asubuhi maeneo ya barabara ya Morogoro - Ubungo, Mwendesha Boda boda na abiria wale walikula mweleka baada ya kujifanya kuipita bajaji iliyokuwa mbele yake. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo walisema kuwa mwendesha Boda Boda alikuwa kwenye mwendo kasi ili aipite bajaji ila mahesabu yake yalikuwa mabaya ndiyo alipojikuta akiupanda ukuta wa bembezoni mwa barabara ba kudondoka akiwa pamoja na abiria wake na hakuna aliyekufa. 
Wasamalia wema wakijaribu kuinyanyua boda boda hiyo kuitoa barabarani.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: