MAMA mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, Bi. Shida Salum amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam! 

Mwili wa marehemu Bi Shida Salumu kwasasa upo kwenye ratiba ya kupelekwa airport na utaondoka satisa Dar kupelekwa Kigoma kwa mazishi yatakauofanyika saa Saba kesho mchana baada ya ibada. Hivyo kwa Dar hakuna kitakachoendelea. Wenye nafasi mnakaribishwa kushiriki mazishi kesho mchana Kigoma mjini.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: