Simanzi na Majonzi vilitanda leo Aprili 30, 2014 katika kijiji Cha Zinga, Bagamoyo Pwani wakati ndugu, jamaa na marafiki walipoungana kumsindikiza katika safari ya mwisho ya Mama yake Mzazi Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Angella Msangi, Marehemu Frazia Misheli Shingoye aliyezikwa Shambani kwake.
 Wachungaji waliungana pamoja kumsindikiza Mama yake Mzazi Angella Msangi, Marehemu Frazia Misheli Shingoye aliyezikwa Shambani kwake.

 Waombolezaji wakifika makaburini.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana (mwenye kaunda suti) aliungana na Familia katika maziko.
Waombolezaji wakuaga mwili wa Mama yake Mzazi Angella Msangi, Marehemu Frazia Misheli Shingoye aliyezikwa Shambani kwake Zinga, Bagamoyo Pwani.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana (mwenye kaunda suti) aliungana na Familia katika maziko.

Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Angella Msangi akimuaga kwa mara ya mwisho mama yake mzazi, Marehemu Frazia Misheli Shingoye.
Dada yake Angella akitoa neno la Mwisho wakati wa kumuaga mama yao, kabla ya kuzika.
Mchungaji akitoa neno.
Mchungaji akitoa neno la faraja kwa wafiwa.
Mwili wa Marehemu Frazia Misheli Shingoye ukiwekwa kaburini. 

Watoto na wajukuu wa Marehemu Frazia Misheli Shingoye wakiweka udongo. 
Watoto na wajukuu wa Marehemu Frazia Misheli Shingoye wakiweka shada la maua. 
Wanachama wa Kikundi cha Kataa Unene Family (KUF) nao walifika kumfariji mwenzao Angela aliyefiwa na mama yake.
Wanachama wa Kikundi cha Kataa Unene Family (KUF) wakipiga picaha ya kumbukumbu na mwenzao Angela Msangi. Picha zote na Cathbert Angelo Kajuna wa Kajunason Blog.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: