Bwana Harusi Phillip Mwihava akiwa na mkewe Evodia Elias kwenye hafla ya kuwapongeza mara baada ya kufunga pingu zao za maisha. Harusi yao iliyofanyika katika ukumbi wa Deluxe, Sinza Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Phillip Mwihava na mkewe Evodia Eliaspamoja na wasimamizi wao.
Phillip Mwihava na mkewe Evodia Elias wakiwaongoza wasimamizi wao kuelekea kupata maakuli.





















Wakati wa masotojo ukawadia.












Toa Maoni Yako:
0 comments: