AWAMU YA PILI; Vijana 14,450 wataripoti kwenye makambi ya mafunzo ya JKT kuanzia tarehe 11 Septemba 2014 na kuanza rasmi mafunzo tarehe 18 Septemba 2014 na kumaliza tarehe 17 Desemba 2014. Orodha yao imetoka leo 19 Mei 2014 na kuanza kuonekana kwenye website ya JKT.

1. Kijana yeyote mwenye ulemavu unaoonekana aripoti katika kambi ya mafunzo ya Ruvu JKT (832 Kikosi cha Jeshi).

2. Vijana wote wanatakiwa kuwa na vyeti vya kumaliza Kidato cha Sita (Leaving Certificate).

3. Inasisitizwa vijana waripoti kwenye makambi waliyopangiwa na siyo kuja Makao Makuu ya JKT.

Bofya hapo chini kujua majina ya makambi uliyopangiwa;


ANGLIZO: VIJANA WOTE AMBAO WAMEMALIZA KIDATO CHA SITA NA MAJINA YAO HAYAJAONEKANA KATIKA AWAMU ZOTE MBILI WAWASILIANE NASI KUPITIA:

info@jkt.go.tz
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: