Askari wa Usalama Barabarani wakigagua bodaboda ya miguu mitatu mara baada ya kuona inamakosa kadhaa.
Askari wa Usalama barabarani akiwandikia faini baada ya kugundua bodaboda hiyo inamakosa. Tukio hili lilitokea barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: