Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitoa kadi yake ya mpiga kura kwa karani ili kuhakikiwa kabla ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Chalinze kijijini kwake Msoga mkoa wa Pwani leo April 6, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitumbukiza karatasi katika sanduku baada ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Chalinze kijijini kwake Msoga mkoa wa Pwani leo April 6, 2014
Mama Salma Kikwete akitoa kadi yake ya mpiga kura kwa karani ili kuhakikiwa kabla ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Chalinze kijijini kwake Msoga mkoa wa Pwani leo April 6, 2014
Mama Salma Kikwete akitumbukiza karatasi katika sanduku baada ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Chalinze kijijini kwake Msoga mkoa wa Pwani leo April 6, 2014

PICHA NA IKULU
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: