Mgeni Rasmi Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bi. Evelne Itanisa akiwahutubia washiriki wa mafunzo ya Namna ya Uandishi Bora wa Taarifa za Kina (Thematic Reports) zinazotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 yaliyofunguliwa jana mkoani Arusha.
  Mgeni Rasmi Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bi. Evelne Itanisa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu, Zanzibar pamoja na baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Namna ya Uandishi Bora wa Taarifa za Kina (Thematic Reports) zinazotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 yaliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu, mafunzo hayo yamefunguliwa jana mkoani Arusha.
Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho Said akiwa katika mahojiano maalumu na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mafunzo ya Namna ya Uandishi Bora wa Taarifa za Kina (Thematic Reports) zinazotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 yaliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu, mafunzo hayo yamefunguliwa jana mkoani Arusha.

(PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: