MATONYA amefurahi kufanya show kwenye sikukuuu za pasaka ambazo kwa upande wa Tabata zitafanyika katika ukumbi maharufu Rufita club uliyopo Tabata Segerea.

Tonya ameomba mashabiki wa mziki wake kujitokeza kwa wingi siku hiyoya tarehe 20 juma pili hii.

Siku hiyo Matonya atawasikilizisha Mashabiki wimbo wake mpya itakapo fika usiku na kukutana na watoto katika mchana wa Pasaka na kuwapatia zawadi zitakazo wawezesha watoto kufanya vizuri katika masomo yao.

Usiku wa Pasaka atasindikizwa na Suma Mnazaleti pamoja na Y-Tony na Kanga Moko.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: