Baadhi ya Nyumba zikiwa zimezungukwa na maji katika Eneo la Mzambarauni Mkoa wa Morogoro kutokana na Mvua zilizo nyesha.
 Nyumba zikiwa zimezungukwa na maji....
 Mtoto huyu akijitahidi kupunguza maji yaliyojaa ndani kwao kutokana na mvua zinazo endelea kunyesha na kusababisha mafuliko Mkoa wa Morogoro.
 Wakazi wa Morogoro wakipita ndani ya maji kutokana na Mvua
kubwa iliyosababisha mafuliko leo.
 Nyumba iliyokuwa ikiendelea kujengwa ikiwa imeezuliwa na upepo huku ikiwa imezungukwa na maji.
 Hatari tupu hapa hata wasafiri hawakuweza tena kuingia eneo hili kupata chochote kutokana na eneo hili kujaa maji.
Wakazi wa Morogoro wakiangalia baadhi ya nyumba zilizoezuliwa na upepo na kuzingirwa na maji.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: