
















Kulia ni Mzee Nyantori kutoka Idara ya Habari Maelezo Mdau Cliford Tandali katikati na Nyakia kutoka CCM Makao makuu.
Waziri wa Habari, Maendeleo ya Vijana Utamaduni na Michezo Dr. Fennela Mukangara akizungumza na Mhariri Mtendaji wa TSN Bw, Gabriel Nderumaki na mdau Mabhare Matinyi katikati.
Wadau wa kutoka Zanzibar.
Wake wa viongozi katika picha ya pamoja.
Wadau Mamaa Farida kushoto na Matrina wakipozi mbele ya Keki.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia wakati kundi la muziki wa Taarabu kutoka Zanzibar lilipokuwa likitumbuiza jukwaani.
Wadau Esther Zelamula na mume wake kulia ni Frola Wingia wa Nipashe walikuwepo pia. 







Mdau David Robert na mke wake Alice pia walikuwepo katika hafla hiyo.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Bw. Joseph Msukuma wa kwanza kulia na Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Simiyu Bw. Njalu Silanga wa pili kutoka kulia pamoja na wadau wengine wamehudhuria pia katika hafla hiyo.

Toa Maoni Yako:
0 comments: