Rais Jakaya Kikwete, akikagua gwaride...
 Paredi la askari....likiwa ni tofauti na ilivyozoeleka...mmh
 Moshi wa rangi...
 Ndege za kijeshi zikipita kwa speed ya ajabu...
 Askari wa Jeshi akishuka kwa Parachuti....
 Askari wa Miamvuli wakishuka kutoka umbali wa Futi 4000.....
 Watoto wa Halaiki...
Wasanii wa miziki tofauti tofauti 50, walioshirikiana kuimba wimbo maalum wa miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, wakitoa burudani wakati wa sherehe hizo. Picha zote na Sufian Mafoto Blog.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: