Basi la smart likiwa limepinduka eneo la Lugoba.
Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa amepoteza fahamu baada ya kupata mshtuko.
Watu wawili Wamefariki Dunia Kutokana na Ajali ya Basi la Smart Asubuhi Ya leo.

Basi Hilo Lililokuwa likitokea Jijini dar es salaam Kuelekea Mombasa Nchini Kenya Limeacha Njia Na Kupinduka na Kusababisha Vifo vya watu Wawili pamoja na Kujeruhi abiria wanaokadiriwa kufika 20. Ajali hiyo imetokea katika Eneo la
Mkata na Lugoba  Barabara Kuu ya Chalinze Segera. 

PICHA NA HABARI NA DJ SEK BLOG.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: