Waziri wa maji Pro Jumanne Mghembe akiongea na wandishi wa wahabari kuhusu mandalizi ya wiki ya maji ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Dodoma kushoto kwake ni mwenyekiti wa Kamati ya Maadhimisho Kitaifa Injinia AMANI MAFURU, Mkuu wa Kitengo cma Mawasiliano, Wizara ya Maji NURDIN NDIMBE.
Msimamizi wa Mradi wa Visima wa uchimbaji visima katika eneo la MZAKWE, Bwana METHOD ILAMULIRA, kutoka Kampuni ya DON CONSULTANT akimuonyesha Afisa Habari wa Mamlaka ya Maji mjini Dodoma, DUWASA, SEBASTIAN WARIOBA jinsi Uchimbaji wa Maji unavyofanyika kupitia Visima virefu. ambavyo vinatarajiwa kuondoa tatizo la maji katika mkoa wa Dodoma. Picha na Chis mfinanga.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: