1Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili katika ya Fukayose jimbo la Chalinze wakati alipoendelea na mikutano ya kampeni kunania kiti cha ubunge jimbo laKani hilo, Ridhiwani Kikwete amewaomba wananchi wa kata ya Fukayose kumuamini na kumpa kura za ndiyo siku ya jumapili Aprili 6 na yeye atawalipa maendeleo na watapata nafasi ya kupanga mipango ya maendelea kwa ajili ya mafanikio ya jimbo la Chalinze.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-CHALINZE) 2Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mkenge kata ya Fukayose jimbo la Chalinze leo 3Mwenyekiti wa kata ya Fukayose Orinjulie Machanga akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mkenge wakati wa mkutano wa kampeni za mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete 4Baadhi ya wanachama wa chama cha Mapinduzi wakiwa wameshikilia picha za mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM. 7Msanii Dokii akitumbuiza katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Fukayose leo. 8Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro ambaye pia ni meneja wa kampeni wa mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM Bw. Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi katika kata ya Fukayose. 9Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika mikutano hiyo. c 6Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete akizungumza na kuwapa pole wafiwa wakati alipohani msiba katika moja ya kijiji kwenye kata ya Fukayose. 12Msanii Hafsa Kazinja akitumbuiza katika moja ya mikutano hiyo ya kampeni iliyofanyika kwenye kata ya Fukayose.  14Mmoja wa wazee ambaye jina lake halikufahamika mara moja katika kijiji cha Mtakuja akiwa ameshikilia kipeperushi chenye picha na maelezo ya mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM Bw. Ridhiwani Kikwete.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: