Jana
mchana nyumba za Askari wa jeshi la polisi zilizopo eneo la chumbageni 
nyuma ya kituo cha polisi kikuu cha chumbani jijini Tanga zaungua moto.



Mkuu wa wilaya ya Tanga Mh.Halima Dendegu akiwasili katika eneo la ajali.
Mh.Halima Dendegu akishuhudia ajali ya moto katika nyumba za polisi chumbageni,jijini Tanga hapo jana 
Wananchi wakishuhudia na kusaidia vikosi vya zimamoto katika uzimaji moto huo.
Baadhi ya vitu vilivyookolewa katika ajali ya moto.



Picha kwa hisani ya Tanga kunani(TK)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: