1Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani Ndugu Mwishehe Mhalinze wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kijiji cha Kibindu na kuhudhuriwa na wakazi wa kijiji hicho, akimuombea kura Ridhiwani Kikwete mgombea wa kupitia Chama cha Mapinduzi amemfananisha mgombea huyo na Jeki aina ya (Tanganyika Jack) na kusema atawakwamua wana Chalinze katika changamoto zinazowakabili katika maendeleo jimboni humo,Uchaguzi mdogo wa jimbo la Chalinze unatarajiwa kufanyika Aprili 6 mwaka huu.(PICHA NA KUKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KIBINDU-CHALINZE) 2Kada wa Chama cha Mapinduzi kutoka UVCCM makao makuu Mtela Mwapamba akizungumza na wanakibindu katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata hiyo leo. 3Baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano huo wa kampeni  5Wananchi wa kijiji cha Pera kata ya Kibindu wakiserebuka kabla ya kuanza kwa mkutano wa kampeni kijijini hapo. 6Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Kwamkonje kata ya Kibindu wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani Ndugu Mwishehe Mlau hayupo pichani. 7Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Kwamkonje kata ya Kibindu wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mtela Mwapamba kutoka UVCCM makao makuu. 
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: